Wanafunzi watatu wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Mringa, iliyopo Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na gari katika Barabara ya Bypass iliyopo katika Kijiji cha Kiushini.

Back to Home
Wanafunzi watatu wafariki dunia baada ya kugongwa na gari
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
