Wananchi wa Kata ya Masela, wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wanalazimika kusafiri zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za polisi, hali inayowaongezea gharama za usafiri na kuwapa changamoto wanapohitaji kuripoti matukio ya uhalifu.

Back to Home
Wananchi Maswa watembea zaidi ya kilomita 50 kufuata kituo cha polisi
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
