Baadhi ya wananchi wa kata za Longuo B, Msaranga na Ng’ambo, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia uhaba wa maji safi na salama unaowalazimu kununua ndoo moja kwa Sh500 hadi Sh1,000, huku wengine wakiamka usiku kutafuta huduma hiyo.

Back to Home
Wananchi Moshi walalamikia uhaba wa maji, Muwsa yaeleza chanzo
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
