Loading trending stories…
Wanawake waongoza mahafali ya kwanza TIA Zanzibar, Waziri Omar atoa neno
Back to Home

Wanawake waongoza mahafali ya kwanza TIA Zanzibar, Waziri Omar atoa neno

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Imeelezwa hatua kubwa imepigwa katika kufikia usawa wa jinsia kwenye elimu ya juu, ambapo wanawake wameweka historia kwa kuongoza idadi ya wahitimu katika mahafali ya kwanza ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Zanzibar.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.