Loading trending stories…
Wanawake wataja sababu za kupungua kwa utii ndani ya ndoa
Back to Home

Wanawake wataja sababu za kupungua kwa utii ndani ya ndoa

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Baadhi ya wanawake wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Magegele, Makambako, mkoani Njombe, wamesema kushindwa kwa baadhi ya wanaume kutimiza majukumu ya familia, usaliti wa kimapenzi na tofauti za kipato na elimu kati ya wanandoa ni miongoni mwa sababu zinazochangia changamoto za mahusiano ndani ya ndoa.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.