Mfanyabiashara Joseph Mzava (23), maarufu Joe, na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 31, yakiwemo ya kuongoza genge la uhalifu, kujitambulisha kwa majina ya watu maarufu na kujipatia Sh16 milioni kwa njia ya udanganyifu.

Back to Home
Wanne kortini tuhuma za kutapeli kwa kutumia majina ya Try Again, Mwanaid Majaar
Mwananchi 33 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
