Aliyekuwa askari polisi, Sajenti John Kaposwe (46) na washtakiwa wenzake wanne, wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 26, wanatarajiwa kuanza majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Novemba 3, 2026, baada ya kuomba kukiri mashtaka yanayowakabili.

Back to Home
Washtakiwa watano, akiwamo Polisi kuanza majadiliano na DPP
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
