Loading trending stories…
Wataalamu 300 kukutana Arusha, TMA yazungumzia El Nino
Back to Home

Wataalamu 300 kukutana Arusha, TMA yazungumzia El Nino

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa utakaowakutanisha wataalamu 300 wa sayansi ya mabadiliko ya tabianchi kutoka nchi 75, wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ikitoa tahadhari ya kuimarika kwa mfumo wa El Nino na kuongezeka kwa mvua katika miezi ya Novemba na Desemba.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.