Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili katika matukio mawili tofauti yaliyotokea katika wilaya za Muheza na Handeni, huku tukio moja likidaiwa kuchochewa na wivu wa mapenzi.

Back to Home
Watano mbaroni Tanga kwa tuhuma za mauaji
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
