Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu watatu na kumsaka mmoja kwa tuhuma za kumtorosha kwa dhamira ya kwenda kumwozesha binti ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne (jina limehifadhiwa) wa shule ya sekondari Sokoine Memorial iliyopo Dakawa, Wilaya ya Mvomero.

Back to Home
Watatu mbaroni kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi wa kidato cha nne
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
