Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuruka kutoka ndani ya treni ya mizigo iliyopata ajali katika eneo la Utiga, Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, wakati wakijaribu kujiokoa.

Back to Home
Watu wawili wafariki ajali ya treni Njombe
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
