Watuhumiwa wawili waliokuwa wakitafutwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu, yakiwamo mauaji na uporaji wa pikipiki, wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu kutokana na majeraha waliyopata katika mapambano na polisi.

Back to Home
Watuhumiwa wawili wa mauaji, uporaji wauawa Arusha
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
