Wavuvi wa Kijiji cha Kisiju Pwani, Kata ya Kisiju, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, wameiomba Serikali kuwaongezea boti za kisasa za nyuzinyuzi (fiber) ili kuwawezesha kuvua katika kina kirefu na kupata samaki wengi zaidi.

Back to Home
Wavuvi Kisiju wadai boti za kisasa, soko la samaki
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
