Loading trending stories…
Wawili wajitokeza kusalimisha silaha zao Mbeya
Back to Home

Wawili wajitokeza kusalimisha silaha zao Mbeya

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Wakati kampeni ya kusalimisha silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria ikihitimishwa leo Oktoba 31, 2026 watu wawili wakazi wa Mkoa wa Mbeya wamejitokeza kukabidhi silaha mbili na risasi 22 katika kituo kikuu cha polisi. Hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi alilolitoa Septemba Mosi, 2026, akiwataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha ndani ya kipindi cha miezi miwili.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.