Amesema sekta ya wajasiriamali wadogo na wa kati ina nafasi kubwa katika kukuza uchumi wa Afrika Mashariki kutokana na uwezo wake wa kuzalisha bidhaa zinazotumiwa na wananchi na viwanda, pamoja na kutoa ajira kwa watu wengi.

Back to Home
Waziri Sangu ataka wajasiriamali wanufaike na soko la EAC
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
