Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe, ameondoa zuio la bajaji kuondolewa katika Barabara Kuu ya Tanzam jijini Mbeya, huku akielekeza kuundwa kwa timu itakayopanga maeneo na ruti za vyombo hivyo ndani ya siku 14.

Back to Home
Waziri Shemdoe aruhusu bajaji kurejea barabara kuu Mbeya
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
