Zaidi ya watu 1,000 wenye ulemavu mkoani Kilimanjaro, wanahitaji vifaa saidizi, ikiwamo viti mwendo, ili kuwawezesha kujitegemea kiuchumi na kushiriki katika shughuli za kila siku, huku gharama za vifaa hivyo zikitajwa kuwa kikwazo kwa baadhi yao.

Back to Home
Wenye ulemavu 1,000 Kilimanjaro wanahitaji vifaa saidizi
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
