Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) unatarajia kutangaza zabuni ya ujenzi wa Barabara ya Nelson Mandela mapema Novemba mwaka huu, hatua inayolenga kuanza utekelezaji wa mradi wa kuboresha miundombinu ya usafiri jijini Dar es Salaam.

Back to Home
Zabuni upanuzi Barabara ya Mandela kutangazwa Novemba
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
