Ziara ya kikazi ya siku nne nchini Korea Kusini ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, imefungua fursa za ushirikiano katika sekta ya nishati, uwekezaji na utalii, huku Zanzibar ikipata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Kimataifa la Sera za Utalii kwa Visiwa (ITOP) mwaka 2027.

Back to Home
Zanzibar kunufaika na umeme, mabilioni ya uwekezaji Korea
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
