Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar imezindua Sera ya Miji na Makazi inayolenga kudhibiti ukuaji holela wa miji, kuboresha matumizi ya ardhi na kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi kupata makazi bora, salama na yenye gharama nafuu.

Back to Home
Zanzibar yazindua sera ya miji, makazi kudhibiti ujenzi holela
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
