Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) na Shirika la Posta Tanzania, zimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano (MoU) kwa lengo la kuimarisha udhibiti na kuzuia matumizi ya mtandao wa usafirishaji wa mizigo katika biashara haramu ya dawa za kulevya.

Back to Home
ZDCEA, Posta kukabili tishio dawa za kulevya
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
