Tanzania imeeleza mikakati inayotekeleza katika kukabiliana na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame, ikiwamo kuboresha afya ya udongo, matumizi sahihi ya mbolea na urejeshaji wa maeneo ya malisho ili kuimarisha uzalishaji wa mifugo, usalama wa chakula na uhifadhi wa mazingira.

Back to Home
Masauni aeleza mikakati ya Tanzania kukabili ukame
Mwananchi 1 day 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
