Katika maisha ya kila siku, jamii nyingi duniani zimekuwa na imani kwamba maziwa yanaweza kusaidia kama huduma ya kwanza katika baadhi ya matatizo ya kiafya, ikiwamo mtu kunywa sumu, kutemewa mate na nyoka machoni, vidonda vya tumbo na matatizo ya macho kwa watoto wachanga.

Back to Home
Ukweli kuhusu maziwa kwenye matibabu
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
