Uwekezaji katika sekta ya afya, uzalishaji wa dawa na chanjo, matumizi ya teknolojia na ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi vinatarajiwa kutawala Kongamano la 13 la Afya Tanzania, maarufu Tanzania Health Summit (THS).

Back to Home
Uwekezaji, fedha na teknolojia kutawala kongamano la aAfya Dar
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
