Katika kukabiliana na upungufu wa chakula na kuagiza bidhaa hizo kutoka nje ya Zanzibar, hekta 2,148.7 za miundombinu ya umwagiliaji na skimu kongwe za hekta 800 zimekarabatiwa.

Back to Home
Uzalishaji wa chakula wafikia asilimia 86, hekta 800 zikiimarishwa
Mwananchi 1 day 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
