Siku moja kabla ya kifo cha Neema Mbise (24), inadaiwa mumewe anayejulikana kwa jina la Elias Mallya (27), maarufu ‘Riziki’, alichimba mashimo mawili eneo la nyumbani kwao.

Back to Home
Mume adaiwa kumnyonga mkewe hadi kufa, afya ya akili ikitajwa
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
